Wednesday, September 6, 2017

Marekani. Watu wafanya maandalizi ya mwisho kabla kuwasili kimbunga Irma

A woman looks at empty shelves that are normally filled with bottles of water in a supermarket in San Juan, in Puerto Rico

Image captionWatu wafanya maandalizi ya mwisho ya kuwasili kimbunga Irma
Visiwa vilivyo eneo la Caribbean vimefanya matayarisho ya mwisho kwa kimbunga Irma, ambacho ni kimbunga chenye nguvu zaidi kwa mwongo mmoja, huku maafisa wakionya kuwa kimbunga hicho kinaweza kuwa chenye madhara makubwa.
A man is seen pushing a large trolley containing shrink-wrapped packs of bottled water into a building where the doors and windows have been covered in corrugated iron, as bystanders look on.Haki miliki ya picha
Image captionWatu wafanya maandalizi ya mwisho ya kuwasili kimbunga Irma
Kimbunga Irma cha kiwango cha tano kimepata nguvu ya upepo wa kasi ya hadi kilomita 295 kwa saa.
Kimbunga hicho kinatarajiwa kupiga visiwa vya Leeward kabla ya kuelekea huko Puerto Rico, Haiti na Floirda.
Men cover the windows of a car parts store in preparation for Hurricane Irma in San JuanHaki miliki ya picha
Image captionWatu wafanya maandalizi ya mwisho ya kuwasili kimbunga Irma
Watu wameamrishwa kuondoka kwa lazima eneo la magharibi mwa Florida.
Wageni watatakiwa kuondoka Jumatano asubuhi huku wenyeji nao wakitakiwa kunodoka ifikapo jioni na safari zote za ndege kusitishwa.
Empty shelves in a supermarket in San Juan, in Puerto RicoHaki miliki ya picha
Image captionWatu wafanya maandalizi ya mwisho ya kuwasili kimbunga Irma
Viwanja vya ndege vimefungwa kwenye visiwa kadha, maeneo maarufu ya kustarehe na mamlaka zimewataka watu kuenda maeneo salama.
Rais wa Marekani Donald Trump alitangaza hali ya tahadhari huko Florida, Puerto Rico ba visiwa vya Virgin na kutangaza mikakati ya kukabiliana na majanga sehemu hizo.
Hurrican Irma on 5 SeptemberHaki miliki ya picha
Image captionWatu wafanya maandalizi ya mwisho ya kuwasili kimbunga Irma
Upepo hatarii kwa maisha na mvua kubwa vinatarajiwa kwenyr visiwa vya Leewards vikiwemo Antigua, Barbuda na Anguilla.

No comments: