Friday, August 24, 2018

Baada ya msiba wa Dada yake, Rais Magufuli awashukuru Watanzania

===
 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewashukuru viongozi na Wananchi wote waliompa pole na waliojitokeza kumfariji wakati wa msiba wa Dada yake mpendwa Bibi. Monica Joseph Magufuli.

No comments: