Tuesday, November 13, 2018

Rais Magufuli akutana na watu hawa Ikulu, James Mbatia ndani


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Rostam Aziz, James Mbatia, John Cheyo na John Shibuda, Ikulu Jijini Dar es Salaam.

No comments: