SAMAHANI KWA KUTO KUHUDUMIA MTANDAO WETU KWAKUWA NILIKUWA NA SAFARI YA MSIBA WA BABU YANGU MZEE KAPOJA NA NILIFANIKIWA KUSOMA WASIFU WAKE. |
MOJA YA GALI ILIYOPATA AJALI NA KUWAKA MOTO MKUBWA |
WAKAZI WA MBALIZI WAKISHUHUDIA AJALI MBAYA ILIYOPOTEZA WATANZANIA WENZETU |
Kwa upande wake, Muuguzi wa Hospitali ya Ifisi, Sikitu
Mbilinyi alisema mbunge Mwanjelwa analalamika zaidi maumivu katika sehemu
ya mgongoni na miguu sawa na dereva wake ambaye naye analalamikia
miguu na amepasuka sehemu ya kichwani.
TUWAOMBEE MAJERUHI WAPONE HARAKA WAENDELEE NA KAZI YA KUJENGA TAIFA.
PICHA NA HABARI : MBEYA YETU BLOG
TUWAOMBEE MAJERUHI WAPONE HARAKA WAENDELEE NA KAZI YA KUJENGA TAIFA.
No comments:
Post a Comment