ALLY MWAKALINDILE (MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA RUNGWE) |
RAMADHAN SALIM SEVINGI |
AKIONGEA NA WAFANYAKAZI WA OFISI YA CHAMA WILAYA YA RUNGWE IKIWA NI SIKU YA KWANZA YA KUKABIDIWA OFISI MWENYEKITO WA CCM WILAYA YA RUNGWE ALLY MWAKALINDILE
BAADHI YA KAMATI TENDAJI YA CCM WILAYA YA RUNGWE |
BAADHI YA WANA CCM WAKISIKILIZA KWA MAKINI HOTUBA YA MWENYEKITI (HAYOPO PICHANI) |
NI TAKRIBANI MWAKA MOJA NA MIEZI MINNE IMEPITA TANGU
KILIPOTOKEA KIFO CHA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA RUNGWE MAREHEM JOHN
MWANKENJA KIFO KILICHOTOKEA TAREHE 19.05.2011 ALIPO UWAWA KWA KUPIGWA RISASI
NYUMBANI KWAKE KIWIRA TUKUYU MBEYA.
ALLY MWAKALINDILE NDIYE ALIYE CHAGULIWA NA WANACHAMA WENZAKE
KUSHIKA KATIKA UCHAGUZI WA MKUTANO MKUU WA WILAYA YA RUNGWE NA KUMFANYA KUSHIKA NAFASI HIYO KUBWA KATIKA
NGAZI YA WILAYA YA RUNGWE.
AKIKABIDHIWA OFISI KWA AJALI YA KUTEKELEZA MAJUKUMU
YAKE ALLY MWAKALINDILE AMESEMA KUWA ILI WANANCHI WANUFAIKE NA MAENDELEO AMEWATAKA
VIONGOZI KUWA WAADILIFU NA KUFUATA MISINGI YA UZALENDO ILI CHAMA KIWE NDIO
CHACHU YA MAENDELEO KWA KUFUATA ILANI YA CHAMA ILIYOJIWEKEA KWA MAENDELEO YA
WATANZANIA.
No comments:
Post a Comment