KABLA BARAZA LA MADIWANI HALIJAVUNJWA |
MHE, HILDA NGOYE MBUNGE VITI MAALUM MKOA WA MBEYAAKIFUATILIA MCHAKATO KWA MAKINI |
MKUUWA WILAYA RUNGWE CYPLIAN MEELA AKIONGEA NA MADIWANI |
MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA RUNGWE NOEL MAHYENGA AKISOMA TAARIFA YA KUUNDWA |
MKUU WA MKOA WA MBEYA ABAS KANDORO AKIKABIDHI CHETI CHA KUANZISHWA RASM KWA HALMASHAURI YA BUSOKELO |
PICHA YA PAMOJA YA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA BUSOKELO |
PICHA YA PAMOJA YA BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA RUNGWE |
WAANDISHI WA HABARI WAKIONGEA NA MWENYEKITI MPYA WA HALMASHAURI YA BUSOKELO MHE, MECKSON MWAKIPUNGA |
MKUU WA MKOA WA MBEYA ABAS KANDORO AMEVUNJA BARAZA LA
MADIWANI WILAYA YA RUNGWE MKOA WA MBEYA
NA KUTANGANZA RASMI HALMASHAURI YA RUNGWE ITAKAYO KUWA NA KATA 26 NA KUITANGAZA
HALMASHAURI YA BUSOKELO ITAKAUO KUWA NA KATA KUMI NA MOJA.
AKIONGEA NA BARAZA LA MADIWANI MKUU WA MKOA WA MBEYA AMSEMA
KUWA SERIKALI IMEANZISHA KIFUNGU (sub_vote) Na>7813140 NA KUTENGA FEDHA
KWENYE BAJET YA MWAKA WA FEDHA 2012/2013 KWA AJILI YA HALMASHAURI YA BUSOKELO, YENYE JUMLA YA TSH
12,549,250,889/=
HALMASHAURI YA RUNGWE ITAKUWA IKIONGOZWA NA MKURUGENZI NOEL
MAHYENGA PIA HALMASHAURI YA BUSOKELO ITAKUWA
INAONGOZWA NA IMELDA ISHUZA ALIYETEULIWA
KUIONGOZA HALMASHAURI YA BUSOKELO INAYOANZA LEO KUWAHUDUMIA WANANCHI WA
BUSOKELO.
AKITOA SARAM ZA MKOA MKUU WA MKOA WA MBEYA KANDORO AMEWATAKA WANANCHI KUFANYA KAZI KWA BIDII NA
KUCHANGIA SHUGHURI ZA MAENDELEO NA HILI ITAZIZIFANYA HALMASHAURI KUWA MAENDELEO ZAIDI.
PIA AMESEMA HAITAKUWA
NA MAANA KUWA NA HALMASAHAURI MBILI BILA
YA KUJIBIDISHA KUFANYA KAZI ZA MAENDELEO NA KUKUSANYA USHURU ILI KUJIWEZESHA
KUJITEGEMEA
ZAIDI AMEWAPONGEZA
WANANCHI WA BUSOKELO KUPATA HUDUMA ZA MAENDELEO KARIBU NA WAO
AMEWAHAKIKISHIA KUWA
SERIKALI KWA KUZINGATIA AHADI YA RAIS WA JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR
JAKAYA KIKWETE ALIYOITOA KATIKA KIPINDI
CHA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2010 OMBI LILILOTOLEWA NA MBUNGE WA
RUNGWE MASHARIKA PROF MARK MWANDOSYA KATIKA KIWANJA CHA TANDALE NA RAIS
ALIAHIDI KUIFANYA WILAYA YA RUNGWE KUWA NA HALMASHAURI MBILI RUNGWE NA
BUSOKELO NA BAADA YAMCHAKATO WA MUDA MLEFU HATIMAYE LEO AHADI HIYO YA RAIS WA TANZANIA DR JAKAYA M. KIKWETE IMETIMIA KWA WILAYA YA RUNGWE
KUPATA HALMASHAURI YA MPYA YA BUSOKELO.
(JE WANANCHI WANATARAJIA NINI BAADA YA KUUNDWA KWA
HALMASHAURI MBILI KATIKA WILAYA YA RUNGWE? FUATANA NAMI KWA MATUKIO. )
ALLY KINGO
0752881456
No comments:
Post a Comment