Picha
ya pamoja ya familia ya soka Njombe. Mstari wa mbele kuna Mwenyekiti
mpya wa Chama cha Soka, Njombe Kapteni Stanley Lugenge mwenye suti. Kuna
pia mwakilishi wa TFF, Taifa, mwenye miwani. Wengine ni wajumbe wapya
nane wa Kamati ya Utendaji waliochaguliwa leo. |
No comments:
Post a Comment