MBUNGE WA VITI MAALUM MBEYA, MARY MWANJELWA AKIONGEA NA WANDISHI WA HABARI MUDA MFUPI KABLA HAJAONDOKA KUELEKEA DAR ES SALAAM KWA MATIBABU ZAIDI |
MKUU WA WILAYA YA MBEYA AKIMUAGA MHE, MARY MWANJELWA |
WAHUDUMU WA NDEGE NA WATU MBALIMBALI WAKISAIDIA KUMUINGIZA MHE, MARY MWANJELWA KATIKA NDEGE TAYARI KWA SAFARI. |
No comments:
Post a Comment