Friday, October 5, 2012

WAJASIRIAMALI WA TUKUYU MBEYA

CHALES, ALLY & AMOS
LEO NIMEPITA KWA MARAFIKI ZANGU KUWAPA HI AMOSI, ALLY NA CHALES NIMEKUTA WANACHAPA KAZI ZA KUJENGA TAIFA LAO LA TANZANIA HAPA UNAPATA HUDAUMA YA KUTENGENEZEWA SIM NA VIFAA VYA SIMU WANAWAKARIBISHENI WOTE KWA HUDUMA BORA.

No comments: