NIMEFANIKIWA KUVUKA MPAKA WA MALAWI NA TANZANIA NA HAPO NDIO NAKANYANGA ARDHI YA MALAWI |
MCHANA HUU NIKABAHATIKA KUHUDHURIA TUKIO LA KIHISTOLIA LA HARUSI YA MR CHEYO NA MKEWE NDOA ILIYOFUNGWA KATIKA KANISA LA KKT ITUMBA WILAYANI ILEJE |
MCHUNGAJI MJERUMANI NDIYE ALIYEFUNGISHA NDOA YA MR CHEYO AMBAYE NI AFISA UTUMISHI WILAYA UA RUNGWE |
MR MAPUNDA AFISA KILIMO WA BUSOKELO, MR CHEYO WA TBC PAMOJA NA MDOGO WA KINGO WAKISEREBUKA KATIKA HARUSI YA CHEYO NA MKEWE |
KIKOSI CHA WATUMISHI WA HALMASHAURI YA RUNGWE NA BUSOKELO WAKISAKATA MANGOMA YA HARUSINI |
HAPA NIKIVUKA MPAKA WA MALAWI NA TANZANIA SARAMA MAANA NILIKUWA NA WASIWASI SANA KUMBE HUKU NI AMANI ISIYOELEZEKA |
FUATANA NAMI KWA MATUKIO YA HUKU MALAWI NA TANZANIA ILI UJUE MILA NA DESTURI ZAO NA MAHUSIANO YAO YA KILA SIKU.
KINGO
0752-881456
No comments:
Post a Comment