HAPA NI MAENEO ILIIPOTOKEA AJALI MBAYA YA MAGALI NA KUUA WATU 11 MBALIZI MBEYA |
UHARIBIFU WA BARBARA KUTOKANA NA KUPITISHA MIZIGO MIZITO ILIYOPELEKEA BARABARA KUWA KATIKA HARI MBAYA NA HATARI |
SAFARI NA MAPUMZIKO HAPA NI HOTERI YA LUNCH TIME ILIYOPO TUNDUMA HUDUMA NA USAFI HAPA WANAJITAHID SANA |
SAFARIN NILIKUWA NA WADAU WA MR & MRS PAULO. AMBAYE NI MENEJA TRA TAWI LA TUKUYU WAKIFURAHIA KAMERA YETU |
NI USIKU NDIO TUNAFIKA ILEJE TUNAPOKELEWA NA MWENYEJI WETU MR CHEYO. SAFARI NI NDEFU SANA LAKINI NIMEJIFUNZA MENGI SANA |
WATU WA HUKU WAKARIM SANA KARIBUN MAZIWA |
No comments:
Post a Comment