GAZETI LA LEO LA MTANZANIA LIMEKUJA NA HILI LA MHE, SUMAYE BAADA YA KUONGEA NA WAANDISHI WA HABARI
NANI
ANAWEZA KUMWELEWA HUYU SUMAYE NA MADAI YAKE BAADA YA KUSHINDWA
UCHAGUZI. MAANA ALIKUWA KIONGOZI TENA WAZIRI MKUU JE HII KAULI YAKE
MNAWEZA KUMUELEWA AU NDIO UNAFKI WA WATANZANIA NA BAADHI YA WATU KUJIONA
NI WAADILIFU MBELE ZA WATANZANIA?
No comments:
Post a Comment