* NI MAANDALIZI YA KUANZA ZIARA YA SIKU 22 KATIKA MIKOA YA RUVUMA NA   MBEYA
* LEO ANAKUTANA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA MSASI.
 
* LEO ANAKUTANA NA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA MSASI.
Katibu
 Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasilimia baadhi ya viongozi wa CCM,
 baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege mjini Mtwara asubuhi hii, 
tayari kwa safari ya kwenda katika mikoa ya Ruvuma na Mbeya kuanza ziara
 yake ya siku 22 katika mikoa hiyo kesho. Kabla ya kuwasili katika mikoa
 hiyo, akiwa mkoani Mtwara leo atakutana na Wajumbe wa Halmashauri Kuu 
ya CCM wilayya Masasi.
SOMA ZAIDI....
Katibu
 wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye na Katibu wa NEC, Siasa na 
Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro, wakisalimiana na viongozi 
wa CCM baada ya kuwasili na Kinana mjini Mtwara asubuhi hii
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
 akizungumza na Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Kanali Joseph Simbakalia, Uwanja
 wa Ndege wa Mtwara
Kinana akiwa na viongozi wa mkoa wa Mtwara.
KINANA AWASILI MASASI AKIELEKEA TUNDURU
Katibu
 Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu na
 vijana wa chipikizi wakati alipopokelewa katika kijiji cha Namakongwa  
Wilayani Masasi akiwa niani kuelekea Tunduru ambapo ameanza ziara ya 
siku 22 katika mikoa ya Ruvuma, Mbeya na Njombe katika kukagua miradi ya
 maendeleo na kuangalia utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama hicho  
 
 




No comments:
Post a Comment