| KULIA MCH ASWILE MWASANDUNGILA AKIMPA MKONO WA SHUKRANI ADEN MWA KYONDE KWA NIABA YA WAKRISTO WA KIJIJI CHA NGERENGE |
| PICHA YA PAMOJA NJE YA KANISA LA KIJIJI CHA NGELENGE WAKIWA NA NYUSO ZA FURAHA NA AMANI HUKU WAKIIMBA NA KUMSIFU MUNGU |
| BAADHI YA WASHARIKA WAKIWA IBADANI USHARIKA WA MBIGILI |
| "JAPO KIDOGO LAKINI KANISA LIMEONA TUTAMBUE MCHANGO WAKO" AKISEMA KATIBU WA USHARIKA HUKU AKIMKABIDHI ZAWADI YA KUKU ADEN MWAKYONDE |
| BAADHI YA WAZEE WA USHARIKA WA MBIGILI WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA |
| ENENDENI KWA AMANI YA BWANA |
No comments:
Post a Comment