| WALENGWA WA KATIBA MPYA |
![]() |
| Binti huyu analipwa ujira wa sh 50 kwa kila tofari mbili anazobeba
kupeleka umbali wa mita kama 500 lakini Kuna Mibunge ya katiba inagomea
posho ya sh 300,000/= kwa siku yaani bora Mweshimiwa Rais alivunje bunge
Hilo la katiba
|

No comments:
Post a Comment