MC MWAKIPESILE AKIONGEA KWA NIABA WA WATOA HUDUMA ZA SHEREHE,MIKUTANO NA HAFRA NA SHUGHURI MBALIMBALI MKOA WA MBEYA AMEWASHUKURU WATU WOTE WALIOJITOLEA KUFANIKISHA MAZIKO YA ULIMBAKISYA GWASA AMBAPO PAMOJA NA MICHANGO YA HARI NA MALI KWA WAFIWA KITU KIKUBWA KILICHOGUSA MIOYO YA WAOMBOLEZAJI NI WATOTO WAWILI MAPACHA WA KWANZA WA MAREHEMU GWASA WAKO KIDATO CHA NNE NA WANATARAJIA KUANZA MITIHANI YAO YA KUHITIMU KIDATO CHA NNE JUMATATU HIVYO WATU MBALIMBALI WALIGUSWA KWANZA KWA KUFANYA MAOMBI MAALUM KWA WATOTO WA MAREHEMU ILI TUKIO LA KIFO CHA BABA YAO LISIJE LIKAWA NJIA YA KUTOFAURU MITIHANI YAO |
No comments:
Post a Comment