Kamanda
wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akifafanua jambo
mbele ya Vyombo vya habari katika eneo la ajali, kufuatia kutokea kwa
ajali hiyo iliyopelekea vifo vya watu wanne.
Mkuu wa
Mkoa wa Dar Es Salaa,Mh.Sadick Meck Sadick akizungumza mbele ya Vyombo
vya habari katika eneo la ajali, kufuatia kutokea kwa ajali hiyo
iliyopelekea vifo vya watu wanne.
Baadhi ya
Watu wakishuhudia mabaki ya helikopta hiyo iliyopata ajali maeneo ya
Kipunguni B Moshi Bar, Ilala jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya mabaki ya Helikopta baada ya kuanguka.
Baadhi ya Wataalamu wakifanya uchunguzi wa chanzo cha ajali hiyo ya Helikopta.
Muonekano wa Helikopta eneo la Gonga la Mboto jijini Dar.
Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya Helikopta kuanguka.
Ajali ya
Helicopter ya Maliasili na Utalii imegharimu maisha ya marubani 3 wa
Jeshi la Polisi Tanzania. Sp Kidai Kaluse, Insp.Simba Must Simba, Pc.
Josso Selestine, Na rubani mmoja Capt. Khalfan,Ajali hiyo imetokea huko
Kipunguni B Moshi Bar,Ukonga-Ilala jijini Dar es Salaam. Chanzo cha
ajali hiyo bado hakijajulikaa mpaka sasa.
No comments:
Post a Comment