Friday, November 28, 2014

MDAU WA KINGOTANZANIA LUKAS MBOYA NA MKURUGENZI WA LTV ALAMBA NONDOZII YA BACHELOR BUSINESS ADMINISTRATION - CBE

LUKAS MBOYA AKIWA NA USO WA FURAHA BAADA YA KULAMBA NONDOZZIII

LUKAS MBOYA AKIWA NA MPENZI WAKE NA MKE WA WATOTO WAKE

KATIKATI LUKAS MBOYA AKIWA ANA MARAFIKI KATIKA PICHA YA PAMOJA

KULIA LUCAS MBOYA AKIWA NA ALLY KINGO WAKIWA KATIKA MAJUKUMU YAO YA KAZI

KAZI NA KULA


LUKAS MBOYA KAZI

KINGO TANZANIA & LTV INAKUPONGEZA LUKAS MBOYA KWA KULAMBA NONDOZII MUNGU AWE NAWE KATIKA MIPANGO YAKO YOTE

No comments: