WANASEMINA WAKIMWA MAKINI KATIKA KUSIKILIZA MAADA MALIMBALI |
AIKA TEMU MTOA MAADA KUTOKA TASAF MKOA WA MBEYA AKIELEZEA MALENGO NA UMUHIMU WA MRADI WA TASAF NO 3 AMBAO UTAWAFIKIA WATU WAPATAO ELFU KWA WILAYA YA RUNGWE |
MUWEZESHAJI TOKA TAIFA |
MUWEZESHAJI TOKA TAIFA AKITOA MAADA JINSI YA KUWATAMBUA WALENGWA WA MRADI AMBAO NI MASIKINI |
MWAKILISHI WA MKURUGENZI MKUU WA TASAF AKISOMA RISALA MBELE YA MGENI RASM NA WAHESHIMIWA MADIWANI PAMOJA NA WAWEZESHAJI |
MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA RUNGWE MHE, MWAKASANGULA AKIMKARIBISHA MGENI RASM KWA AJILI YA KUFUNGUA SEMINA ITAKAYO DUMU KWA SIKU TANO ILI KUWAJENGEA UWEZO WAWEZESHAJI WA WILAYA YA RUNGWE |
PICHA YA PAMOJA |
KINGOTANZANIA
No comments:
Post a Comment