Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Waziri wa Uchukuzi, Dr.
Harrison Mwakyembe (kulia kwake) na Naibu Waziri wake, Dr. Charles
Tizeba (kulia) kukagua baadhi ya mabehewa mapya ya Shirika la Reli
nchini (TRL) yaliyonunuliwa na kwa fedha za serikali wakati alipokwenda
kwenye bandari ya Dar es salaam Desemba 8,2014. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment