Mbunge wa Jimbo la Mtama Nape Nnauye amepata ajali akiwa safarini kuelekea Wilayani Liwale kushiriki kikao cha kamati kuu ya Siasa ya Mkoa wa Lindi. Mh. Nape alikua njiani kwenda kuungana na ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dr Bashiru Ally anayezuru Wilaya ya Liwale.
Hakuna madhara makubwa yaliyotokea kwa waliokua ndani na nje ya gari.
Hakuna madhara makubwa yaliyotokea kwa waliokua ndani na nje ya gari.
No comments:
Post a Comment