WADAU WA kingotanzania MR & MRS DAUD WAKIFURAHIA KAMERA KWA STAILI YAO |
FUFU LE SH 3000/= |
KILA MTU ANA WAJIBU WA KUMLINDA MTOTO |
HUYU JAMAA NIMEMKUTA HOME SASA ANASUBIRI MWAKA MPYA NAMI NIMEMPANIA SANA NAOMBA MUNGU NIFIKE SARAMA |
BIASHARA NI IMANI NA MAHITAJI YA XMAS YANASUBIRIWA HAPA UUZE NDIPO UKANUNUE MAHITAJE, JE USIPOUZA? |
MMMMMMMMM |
KIKAPU CHOTE SH 1500/= |
LAZIMA WATU WAPENDEZENA NGUO MPYA |
KULA NI MHIMU SANA MR NGENYILE AKIWAJIBIKA KATIKA BIASHARA YAKE |
HUYU MFUGO ANGEJUA KINACHOFUATA KWAKE. LEO SH 10,000/= |
KILA MTU YUKO BIZE |
KINGO SUPER PRODUCTION & www.kingotanzania.blogspot.com INAWATAKIA SHEREHE NJEMA ZA XMAS NA MUNGU AWABARIKI |
ZAIDI YA ABIRIA WAPONA KUFA KATIKA AJALI YA BASI LA NEW FORCE NA FUSO ENEO LA INYALA PIPE LINE MBEYA
ZAIDI YA ABIRIA 40 WALIOKUWEMO KWENYE BASI LA NEW FORCE WAMEPONA KUFA BAADA YA KUGONGANA NA ROLI AINA YA FUSO MAENEO YA PIPE LINE INYALA BASI LA NEW FORCE LILIKUWALINATOKEA MBEYA KUELEKEA DSM |
Hili roli aina ya fuso ndilo lililosababisha ajali hiyo kwani lilikuwa lilikuwalinalipita gari lingine bila ya kuangalia kama gari nyingine inashuka mlima na ndipo lilipokutana na basi hilo |
Hii ndiyo hali halisi ya ajali hiyo dreva wa fuso kakimbia baada ya kusababisha ajali hiyo |
Mtoto Samwelli akisimulia jinsi ajali hiyo ilivyotokea kwani yeye alikuwa nyuma ya dereva amesema yeye mkanda ndiyo uliomuokoa kwani mama aliyekuwa jirani yake hakufunga mkanda ameumia vibaya sana |
Badhi ya abilia waliokuwa kwenye basi hilo wakisubiri usafiri mwingine toka katika kampuni ya new force |
Baadhi ya mjeruhi hao wameruhusiwa baada ya kupata matibabu |
No comments:
Post a Comment