BENNY MWAIPAJA MWANDISHI WA HABARI WA TBC MANYALA AKIWA NA MKEWE JENNY MWAIPAJA PAMOJA NA MTOTO WAO MBELE YA MADHABAHU KUMBATIZA MTOTO WAO MUNGU AWABARIKI SANA |
WALEZI WA KIROHO WA MTOTO MR & MRS MSHUA |
KWAITO SASA LIMEKOLEA |
WATOTO WAKIFURAHIA SHEREHE |
JK Asherehekea Krismass Serengeti na kushiriki michezo
Mabingwa
wa Kombe la Ujirani Timu ya hoteli ya Seronera wakifurahia ushindi
baada ya kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge
katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara .
Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju
ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani
wao.
Nahodha
wa hoteli ya Seronera Jamali Kitonga akifurahia baada ya kukabidhiwa
kombe la Ujirani mwema na Rais Jakaya Kikwetebaada ya timu yake kuilaza
kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa
Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara Hasdi mechi inaisha
timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo
Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi nahodha wa timu ya hoteli ya Seronera
Jamali Kitonga kombe la Ujirani mwema baada ya timu hiyo kuilaza kwa
mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi
ya Serengeti mkoani Mara Hasdi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare
ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4
na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na timu ya hoteli ya Four
Seasons Safari Lodge kabla ya kucheza na hoteli ya Serena katika Uwanja
wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. hadi mechi
inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati
ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akikagua timu ya hoteli ya Serena kabla ya
kucheza na hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru
katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. hadi mechi inaisha timu
hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena
walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment