Baadhi ya wananchi na
wapenzi wa CCM Wilaya ya Mbeya Mjini wakiwa katika mkutao huo uliyofanika katika kiwanja cha kabwe mwanjelwa
|
Hapa Naibu Waziri wa Elimu
Mhe.Mulugo akiongea na wananchi na wapenzi wa ccm huku akielezea sera za chama cha mapinduzi na mikakati yake
|
M/Kiti wa CCM Mkoa
wa Mbeya Mhe.Godfrey Zambi(mb),akiwasalimia na kuwahutubia wananchi na wanaCCM
wa Mbeya Mjini hiyo jana
|
Viongozi mbalimbali wachama walikuwepo mkutanoni hapo |
Vituko vimeanza hapa mkuu wa wilaya Mbeya Norman Sigalla akipokwea na wafuasi wa chadema upande wa pili wa barabara kuu iendayo tunduma |
Mashabiki wa chadema wanamshangilia mkuu wa wilaya hiyo huku wakimfuta na kumwambia njoo huku tuna sera nzuri |
Mkuu wa wilaya huyoo anatimkia kwenye mkutano wao wa ccm |
Anavuka barabara kuelekea mkutanoni baada ya kuwaacha hoi washabiki wa chadema |
Ngoma inogile sasa sugu anapita barabarani wafuasi wa chama cha chadema wanamzuia ashuke hapo kwenye mkutano wa ccm |
Kazi kweli kweli ushabiki wa kisiasa hapa barabara imefungwa kwa muda |
Mashabiki wa chadema wazuia kabisa sugu asipite na ashuke eneo hilo |
Hakika mweshimiwa mbunge wa mbeya mjni Joseph Mbilinyi ameshuka kwa hasira toka katika gari yake ili aongee na wafuasi wa chadema |
Sasa naombeni njia nirudi zangu home kwani nimechoka nimetoka kikaoni wapendwa acheni fujo naombeni niachieni njia niende |
Jamaa wamekubali wamemwachia njia |
Sugu huyooo anaenda zake |
No comments:
Post a Comment