WADOGO ZANGU UWEZO KULIA NA BARAKA ANAYEMFUATA WAKIWA NA WANAKIJIJI TUKISUBIRI MAZIKO KUFANYIKA |
KATIKA FAMILIA LAZIMA MAELEWANO YAWEPO MMOJA AKIONGEA WENGINE WANASIKILIZA NA KILA MTU ANAPATA NAFASI YA KUCHANGIA |
HAPO TUNAANDAA KWA AJILI YA HESHIMA ZA MWISHO |
HILI NDILO KANISA LA KWANZA KUJENGWA NA WAMISIONARI MIAKA MIAMOJA NA ZAIDI NA NDIPO MAZISHI YA MJOMBA WANGU YAMEFANYIKA |
MCH MWAKABELELE WA KKKT MANOW AKIONGOZA MAZIKO |
KATIKA FAMILIA NILIBAHATIKA KUSOMA WASIFU WA MAREHEM NA KUONGOZA RATIBA YA MAZIKO |
MWILI WA MAREHEM UKISHUSHWA KABURINI |
BABA NA MAMA MCH N.F MWALWEGA WAKIWEKA SHADA LA MAUA |
KAKA NA DADA WA MAREHEM WAKIWEKA SHADA LA MAUA KATIKA KABURI |
PICHA YA FAMILIA |
DR.MARY MWANJELWA MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MBEYA AMBAYE PIA NI M-NEC TAIFA AMEFANYA IBADA YA SHUKRANI NA KUTOA MSAADA WA BAISKELI 10 KWA WALEMAVU WA MIGUU
Dr Mary Mwanjelwa akiwa na naibu waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi Philipo Mulugo wakiimba kwa pamoja katika ibada hiyo ya shukrani |
Ndugu jamaa na marafiki toka sehemu mbali mbali walihudhuria ibada hii ya shukrani |
Kijana Tizo akilia akisema huwenda mungu alikuwa na makusudi yake kunifanya mimi niwe daraja la kumuokoa dada Mary |
Mchungaji Nyambo naibu waziri Mulugo na mkewe wakiwa makini kumsikiliza Tizo jinsi alivyomwokoa Dr Mary Mwanjelwa |
Ndugu jamaa na marafiki wakimsikiliza Tizo |
Hili ndilo gari alimokuwemo mweshimiwa mbunge Dr Mary Mwanjelwa katibu wake aliteketea kabisa kwenye gari hilo dreva wagari ya mbunge kwa sasa anaendelea vizuri bado yupo kwenye matibabu DSM |
Askofu wa Kanisa la Moravian
Tanzania Jimbo la kusini Magharibi Alinikisa Cheyo Ndiyo aliongoza ibada hiyo ya shukrani
|
Add caption |
Naibu waziri wa elimu Philipo Mulugo na Dr Mary Mwanjelwa wakicheza pamoja na kwaya ya Debora Mwaisabila kanisani hapo |
Debora Mwaisabila akiwa na waheshimiwa wabunge wakimtukuza mungu kwa wimbo |
Kwaya ya Paradise ikiimba kanisani hapo |
Mweshimiwa mbunge Dr Mary Mwanjelwa ametoa msaada wa baiskeli 10 za walemavu wa miguu zenye dhamani ya shilingi milioni 2.5 hapa akiwa pamoja na walemavu hao baada ya kuwakabidhi baiskeli zao |
picha na Jem |
No comments:
Post a Comment