Monday, January 14, 2013

TUKUYU STAR IMECHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI NA PRISON YA MBEYA INAYOJIANDAA NA LIGI KUU MZUNGUKO WA PILI


WACHEZAJI TUKUYU STARS  (JEZI NYEKUNDU) WAKIWA UWANJANI NA PRISON

WADAU WA SOKA TUKUYU WATATU KUTOKA KUSHOTO BABA PAROKO WA TUKUYUAKIFUATILIA KWA MAKINI MCHEZI WA TUKUYU STAS NA PRISON

WADAU WA TUKUYU STARS WAKIWA MAKINI KUANGALIA TIMU YAO IKIPIMANA NGUVU NA PRISON

HALI YA HEWA KABLA YA MCHEZO WA TUKUYU STARS NA PRISON MCHEZO ULIO CHEZWA DK 80 NA MATOKEO PRISON WAKIONGOZWA JAPO MVUA KUBWA ILIKATISHA MCHEZO HUO

BAADHI YA WACHEZAJI WA TUKUYU STARS INAYOFUNDISWA NA ALEX MWAMBIPILE WAKIWA MAPUMZIKO

MDAU WA KWANZA WA TUKUYU STARS MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CRISPIN MEELA AKITOA MAONI YAKE WAKATI WA MAPUMZIKO, MEELA ANAHAKIKISHA KUWAUNGANISHA WADAU MBALIMBALI ILI KUIFUFUA TIMU YA TUKUYU STARS (BANYAMBALA)  ALIE VAA SUTI NI ENZI SEME AFISA MICHEZO WA WILAYA A RUNGWE

KOCHA WA PRISON JUMANNE CHARLES AKIWAPA MWAWILI MATATU WACHEZAJI WAKE. AKIONGEA NAMI JUMANNE AMESEMA KUWA HII NI MECHI YA KWANZA YA KIRAFIKI BAADA YA MAPUMZIKO YA MUDA NA SASA WACHEZAJI WAKE WAKO TAYARI KURUDI KUCHEZA MZUNGUKO WA PILI WA LIGI KUU  AMBAPO MECHI YA KWANZA YA PRISON ITAFANYIKA UWANJA WATAIFA WAKICHEZA NA YANGA



KOCHA WA PRISON MR JUMANNE

KULIA  REFA WA MCHEZO EDIGER DAVID  NA KUSHOTO KIPENDELA WAKE KATIKATI MSIMAMIZI WA MCHEZO WAKIWA KATIKA MAPUMZIKO

MAKAMU MWENYEKITI  WA TUKUYU STARS MR HAUBERT SHAOWA TATU KUTOKA KUSOTO WALIO SIMAMA AKIFUATILIA MECHI KWA MAKINI

MR LEBI G. MWAKATOBE MWENYEKITI WA TUKUYU STARS ANAPENDA KUWAPONGEZA WALE WOTE WANAOGUSWA KWA KUIFUFUA TIMU YA TUKUYU STARS KUSHIRIKIANA KWA HALI NA MALI ILI KURUDISHA HESHIMA YA RUNGWE KIMICHEZO

No comments: