Idriss
Sultan Mtanzania aliyetikisa Bigbrother leo ameibuka mshindi wa shindano
hilo na kuwabwaga washiriki kutoka mataifa mbalimbali yaliyoshiriki
katika shindano hilo akiibuka na kitita cha shilingi milioni 500 za
Kitanzania katika shindano hilo lililokuwa likiendelea kwa miezi mitatu
nchini Afrika Kusini Idriss ni Mtanzania wa tatu kushinda shindano hilo
akitanguliwa na Mwisho Mwampamba na Richard wote wakiwakilisha vizuri
taifa la Tanzania katika shindano hilo, KINGOTANZANIA inampa hongera sana
Idriss kwa ushindi huo na inamtakia kila mafanikio katika maisha
yake.
No comments:
Post a Comment