Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwapungia mikono wananchi waliofurika katika uwanja wa Uhuru Jijini
Dar es Salaam katika Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa
Tanzania Bara akiwa katika Gari maalum liliozunguuka katika uwanja huo
leo. [Picha na Ikulu.]
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete

Vikosi
vya Ulinzi na Usalama vikitoa salamu ya heshma wakati Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipowasili katika
Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo katika sherehe za kilele cha
maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara, [Picha na Ikulu.]
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na
Viongozi wa Kitaifa wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa katika
kilele cha sherehe za maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, [Picha na
Ikulu.]
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua
Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lilioandaliwa katika sherehe za
kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
zilizofanyika leo katika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,
[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua
Gwaride la Vikosi vya Ulinzi na Usalama lilioandaliwa katika sherehe za
kilele cha Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
zilizofanyika leo katika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,
[Picha na Ikulu.]
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Makamo wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika
Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,[Picha na
Ikulu.]
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mama Salma Kikwete akisalimiana
na Makamo wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi katika Kilele cha
Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam,
Mke
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mama Salma Kikwete akisalimiana na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein katika Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 53 ya Uhuru wa
Tanzania Bara zilizofanyika leo katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es
Salaam,[Picha na Ikulu.]
Baadhi
ya wananchi kutoka mitaa mbali mbali ya Jiji la Dar es Salaam na Mikoa
jirani wakiwa katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dare Salaam katika
sherehe za kilele cha maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
ambazo hufanyika kila mwaka,[Picha na Ikulu.]
Mabalozi
wa Nchi mbali mbali wanaoziwakilisha Nchi zao hapa nchini pamoja na
Wananchi wakiwa katika Sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa
Tanzania Bara zilizofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru ambapo mgeni
rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete, [Picha na Ikulu.]
Mabalozi
wa Nchi mbali mbali wanaoziwakilisha Nchi zao hapa nchini wakiwa katika
Sherehe za Maadhimisho ya miaka 53 ya Uhuru wa Tanzania Bara
zilizofanyika leo katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam ambapo
mgeni rasmi alikuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete, [Picha na Ikulu.]
Rais Kikwete akiwa kwenye sherehe hizo.
Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara CCM, Philip Mangula.(P.T)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalimiana na Rais wa Zanzibar, Dk Mohamed Shein.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadick, akisalimiana na waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye.
Baadhi ya viongozi wa nchi wakiwa jukwaa kuu.
Askari wa majeshi ya ulinzi na usalama wakitoa heshima kwa Rais Kikwete.
Haya ni maonyesho ya halaiki.
Baadhi ya wananchi waliofika kwenye sherehe hizo.
RAIS Kikwete
leo ameongoza sherehe za kuadhimisha miaka 53 tangu Tanzania Bara ipate
uhuru wake Desemba 9 1961. Hafla hiyo ilifanyika Uwanja wa Uhuru jijini
Dar es Salaam na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali nchini na
wawakilishi wa nchi za nje walioshuhudia burudani ya kwaya, gwaride,
halaiki, ngoma za asili, sarakasi na michezo mingineyo kutoka mikoa
mbalimbali ya Tanzania.
No comments:
Post a Comment