Viongozi
wa Dini wakimuombea dua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati
walipomtembelea kumjulia hali na kumuombea ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya viongozi wa dini
mbalimbali waliomtembelea na kumjulia hali pamoja na kumuombea dua ikulu
jijini Dar es Salaam(picha na Freddy Maro)

No comments:
Post a Comment