Soko la Mwanjelwa linaloendelea kujengwa Jijin Mbeya |
Mafundi wakiendelea na ujenzi wa soko kuu la Mwanjelwa linalo subiriwa kwa hamu na wafanya biashara Mbeya |
Wakina mama wajasiriamali wa biashara ya vyungu wakifanya biashara nje ya soko la Mwanjelwa. |
Wakazi wa jiji la mbeya wakiendelea na shughuri za kawaida za kila siku. na Ally Kingo Mbeya |
No comments:
Post a Comment