Sunday, September 30, 2012

MAAJABU YA MUNGU KATIKA MTO KIWILA TUKUYU MBEYA DARAJA LA MUNGU

DARAJA LA MUNGU HAPA NI SEHEMU YA MUONEKANO WA CHINI YA MAJI  YANAPOPITA,  MWAMBA WA JIWE KAMA UMECHONGWA VILE

HUU NDIO MUONEKANO WA JUU YA DARAJA LA MUNGU UKIFIKA MBEYA TEMBELEA VIVUTIO VYA MAAJABU MUNGU ALIYOTUPA( MATUKIO ZAIDI YA VIVUTIO TEMBELEA HAPA UJIONEE)

Post a Comment