Monday, October 1, 2012

CCM WILAYA YA RUNGWE WAPATA MWENYEKITI BAADA YA KIFO CHA JOHN MWANKENJA

                               ALLY MWAKALINDILE                                                     (MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA RUNGWE)
RAMADHAN SALIM SEVINGI 
 AKIONGEA NA WAFANYAKAZI WA OFISI YA CHAMA WILAYA YA RUNGWE IKIWA NI SIKU YA KWANZA YA KUKABIDIWA OFISI MWENYEKITO WA CCM WILAYA YA RUNGWE ALLY MWAKALINDILE
BAADHI YA KAMATI TENDAJI YA CCM WILAYA YA RUNGWE


BAADHI YA WANA CCM WAKISIKILIZA KWA MAKINI HOTUBA YA MWENYEKITI (HAYOPO PICHANI)

 NI TAKRIBANI MWAKA MOJA NA MIEZI MINNE IMEPITA TANGU KILIPOTOKEA KIFO CHA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM WILAYA YA RUNGWE MAREHEM JOHN MWANKENJA KIFO KILICHOTOKEA TAREHE 19.05.2011 ALIPO UWAWA KWA KUPIGWA RISASI NYUMBANI KWAKE KIWIRA TUKUYU MBEYA.

ALLY MWAKALINDILE NDIYE ALIYE CHAGULIWA NA WANACHAMA WENZAKE KUSHIKA KATIKA UCHAGUZI WA  MKUTANO MKUU  WA WILAYA YA RUNGWE NA  KUMFANYA KUSHIKA NAFASI HIYO KUBWA KATIKA NGAZI YA WILAYA YA RUNGWE.

AKIKABIDHIWA OFISI KWA AJALI YA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE  ALLY MWAKALINDILE AMESEMA KUWA  ILI WANANCHI WANUFAIKE NA MAENDELEO AMEWATAKA VIONGOZI KUWA WAADILIFU NA KUFUATA MISINGI YA UZALENDO ILI CHAMA KIWE NDIO CHACHU YA MAENDELEO KWA KUFUATA ILANI YA CHAMA ILIYOJIWEKEA KWA MAENDELEO YA WATANZANIA.
Post a Comment