Friday, March 7, 2014

AJALI YA BASI LA SAI BABA LIKITOKEA DAR LIKIELEKEA KYELA LIMESABABISHA KIFO CHA DEREVA WA BASI HILO NA MAJERUHI KUMI NA NANE.

AJALI HII MBAYA IMETOKEA USIKU WA KUAMKIA LEO MIDA YA SAA NNE USIKU NI BAADA YA DEREVA KUSHINDWA KUIMUDU KONA YA MWAMBEGELE NA MWILI WA MAREHEMU UKIWA UMENASA CHINI YA BASI HILI.

MASHUHUDA WAKIWA ENEO LA TUKIO WAKIANGALIA MWILI WA MAREHEMU ULIONASA CHIN YA GARI


DEREVA WA BASI LA SAIBABA MAREHEMU GEDRIVA MAMUYA ALIPOJARIBU KURUKA BILA MAFANIKIO NA BASI KUMFUATA JUU NA KUSABABISHA KIFO CHAKE PAPO HAPO,

 WAKIWA KATIKA JUHUDI ZA KUUTOA MWILI WA MAREHEMU
 ASKARI WAKIWA KATIKA KUHAKIKISHA USALAMA KATIKA ENEO LA TUKIOLA AJALI.
MWILI WA MAREHEMU UKICHOMOLEWA CHINI YA BASI.
MMOJA WA MAJERUHI AKIWA KATIKA CHUMBA CHA UPASUAJI


BAADHI YA MEJERUHI WAKIWA KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA RUNGWE

MKUU WA WILAYA YA RUNGWE MHE. CHRISPIN MEELA AKIONGEA NA WANAHABARI HAWAPO PICHANI, MEELA AMEWATAKA MADEREVA KUWA MAKINI WAWAPO BARABARANI KWAKUWA DHAMANA YA WATU NI KUBWA KULIKO MASHINDANO WANAYOYAFANYA WAWAPO BARABARA KUWA NANI ATANGULIE KUFIKA MWISHO WA SAFARI. PIA AMEWAPA POLE MAJERUHI WOTE NA AMEWATAKA WANA RUNGWE KUWAOMBEA WAPONE NA KUENDSELEA NA KAZI ZAO ZA KILA SIKU 
Post a Comment