LANDMACK TUKUYU KWA HUDUMA SAFI YA MALAZI ,CHAKULA NA MIKUTANO |
LEO TANDALE TUKUYU |
TANDALE TUKUYU |
UTAMADUNI WA WANYAKYUSA , NGOMA YA IPENENGA |
DARAJA LA MUNGU KATIKA MTO KIWIRA |
ZIWA NGOSI LIPO KATIKA MLIMA RUNGWE |
MAPOROMOKO YA MAJI YA KAPOLOGWE |
HAPA KIJUNGU KATIKA MTO KIWIRA HAPA NI SEHEMU AMBAPO MAJI YA MTO KIWIRA |
GES ASILIA INAYOPATIKANA RUNGWE NA KIWANDA KIPO RUNGWE |
UTAFITI MPYA WA MAJI YA MOTO YANAYOPATIKANA RUNGWE KWA AJILI YA KUZALISHA NGUVU UMEME |
NAELEKEA KUANGALIA MAJI YANAYOCHEMKA KATIKA MIAMBA |
MR MASANJA AMBAYE NI AFISA UTUMISHI BUSOKELO NA KATIKATI NI MR PANJA KWA PAMOJA TUKISHANGAA KUONA MAJI YA MOTO HUKU YAKICHEMKA |
WENYEJI HAPO WANAWEKA VIAZI NA MAYAI KWA MUDA MFUPI VINAIVA NA KULA |
SEHEMU YA MIAMBA INATIPITIWA NA MAJI HAYO YANAYOCHEMKA NA UKIONJA YANA CHUMVI SANA |
HAPA NI SEHEM UNAPOFANYIKA UTAFITI WA KUYAPATA MAJI HAYO KWA WINGI KWAAJILI YA KUZALISHA UMEME NA SHUGHURI ZINGINE, KWA TAARIFA ZA AWALI NIKUWA UTAFITI UMEFANIKIWA |
SEHEM YA MAJI YANAYOCHEMKA |
KWA JOTO LILILOPO MAENEO HAYA LAZIMA UPUNGUZE NGUO |
SEHEMU OWEVU MAALUFU KWA WENYEJI KAMA KILAMBO HAPA WAFUGAJI WANALETA MIFUGO YAO ILI KUPATA MAGADI |
KILA MTU ANAVUKA MTO KWA STAILI YAKE |
NILIFANIKIWA KURUKA BILA YA KUKANYAGA MAJI |
ENDELEA KUFUATANA NAMI ILI KUJUA ZAIDI VIVUTIO 19 VINAVYOPATIKANA MKOA MPYA WA RUNGWE AMBAVYO HAVIPATIKANI DUNIANI KOTE.
No comments:
Post a Comment