Friday, October 26, 2012

MBUNGE WA VITI MAALUMU MKOA WA MBEYA MH. DK MARY MWANJELWA ATEMBELEA KABURI LA KATIBU WAKE NA KUTOA POLE YA KIASI CHA SHILINGI MILION MOJA WILAYANI ILEJE MBEYA

HII NDIO GALI ALIYOPATA AJALI MHE, MARY MWANJELWA

MARY MWANJELWA AKIWASILI NYUMBANI KWA ALIYEKUWA KATIBU WAKE AMBAYE SASA NI MAREHEM

HAPA NDIPO KABURI LA ALIYEKUWA KATIBU WA MBUNGE MARY MWANJELWA. BAADA YA KUWASILI NYUMBANI HAPO MHE, AMETOA SHILING MILION MOJA KWA AJILI YA KUSAIDIA KUFUNGUA AKAUNTI YA WATOTO WA MAREHEMU.

Post a Comment