Wednesday, October 3, 2012

UTUNZAJI WA MAZINGIRA

WANANCHI WANAOUZUNGUKA MLIMA KYEJO ULIOPO WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA WASHAURIWA KUUTUNZA MLIMA HUO KUTOKANA NA KUWA NA FAIDA NYINGI                                                                                              ( HIVI KARIBUNI NATARAJIA KUTEMBELEA MLIMA HUO ILI WATANZANIA MJIONEE MAAJABU YA MUNGU YALIYOMO KATIKA MLIMA HUO IKIWEMO GESI ASILIA, WANYAMA, UOTO WA ASIRI, SEHEMU ZA MILIPUKO YA VOLCANO ILIYOTOKEA MIAKA ILIYOPITA ZAIDI KILELENI MWA MLIMA HUO KYEJO KUWEPO NA UWANJA MKUBWA WENYE MABWAWA MATANO YENYE MAAJABU YAKE NA KILA  BWAWA LA MAJILINA MAAJABU TOFAUTI.

Post a Comment