Sunday, November 25, 2012

KAMA KAWAIDA YA JIJI LA MBEYA AJALI KILA KUKICHAAjali hii imetokea usiku wa kuamkia leo maeneo ya barabara ya mbalizi kuelekea mabatini Gari hiyo mali ya kampuni ya simu vodacom iliporamia nguzo ya taa za barabarani  na dereva wake amejulikana kwa jina moja tu Karinga ambae ameumia kidogo chanzo cha ajali mpaka sasa hakijajulikana

Post a Comment