Saturday, November 17, 2012

MAADIMISHO YA SIKU YA CHOO DUNIANI, KUNAWA MIKONO KWA KUTUMIA SABAUNI NA USAFI WA MAZINGIRA KITAIFA YAENDELEA SALAMA WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA KATIKA KIWANJA CHA TANDALE

USAFI WA MAZINGIRA UKIENDELEA ASBUHI YA LEO

WADAU WA AFYA WAKIFURAHIA MAZINGIRA SAFI BAADA YA KUFANYA USAFI LEO ASUBUHI

MKURUGENZI WA WILAYA YA RUNGWE LEO AKIONGEA NA KAMATI YA AFYA TAIFA INAYORATIBU MAONYESHO HAYO OFISIN KWAKE

MAONYESHO YANAENDELEA

WATANZANIA WAMENAWA TAYARI NA HAPA WANAFURAHIA KAMERA YA NDUGU YAO KINGO ALIENAWA MIKONO PIA


MSANII MAARUFU MLISHO MPOTO ( MJOMBA) AKIONGOZA BURUDANI NA MAFUNDISHO YA JINSI YA KUNAWA MIKONO NA USAFI WA MAZINGIRA


KARIBUNI KATIKA MAONYESHO YA ELIMU YA AFYA KIWANJA CHA TANDALE TUKUYU MJINI

ELIAS SHINAMO  MKURUGENZI MSAIDIZI WA AFISA AFISA AFYA MKUU TANZANIA AKIONGEA NA WANANCHI WA WILAYA YA RUNGWE KATIKA SIKU YA UFUNGUZI WA SIKU YA KUNAWA MIKONO NA USAFI WA MAZINGIRA NA SIKU YA CHOOO DUNIANI

MGENI RASM MOSES MWIDETE DAS WA WILAYA YA RUNGWE AKIONGEA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA WA MBEYA ABAS KANDOLO ALIYEPO SAFARINI DODOMA

MGENI RASM MOSES MWIDETE AKIELEKEZWA JINSI YA KUNAWA MIKONO KATIKA MOJA YA BANDA LA MAONYESHO
DAS MOSES MWIDETE AONGOZA USAFI WA MAZINGIRA WILAYANI RUNGWE LICHA YA WANANCHI KUTOJITOKEZA KATIKA KUFANYA USAFI KATIKA MAZINGIRA YAO. MAADHIMISHO HAYA YA USAFI WA MAZINGIRA , KUNAWA MIKONO KWA SABUNI NA SIKU YA CHOO DUNIANI YATAFIKIA KILELE SIKU YA JUMATATU NA SHEREHE ZA KITAIFA ZITAFANYIKA WILAYANI RUNGWE MKOANI MBEYA NA MGENI RASM ATAKUWA WAZIRI WA AFYA WA  JAMUHURU YA MUUNGANOI WA TANZANIA


Post a Comment