Wednesday, November 28, 2012

SOKO LA MWANJELWA LAFIKIA ASILIMIA 80 YA UJENZI

WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA WATEMBELEA UJENZI WA SOKO KUU LA KIMATAIFA MWANJELWA

SASA UJENZI UMEFIKIA ASILIMIA 80

WAANDISHI WANAPATA MAELEKEZO YA HATUA ILIPOFIKIA YA UJENZI NA NINI KILICHOBAKI ILI JENGO LIANZE KUFANYA KAZI

HAPA NI KAZI TU WANANCHI WAPATE HABARI

 JENGO LA KUWEKEA TAKATAKA KABLA HAZIJAENDA DAMPO


MUONEKANO WA SOKO KWA MBELE HUKU NDIKO KUTAKUWA NA BENK MBILI PAMOJA NA MADUKA

KITUO CHA POLISI HII NI MOJA YA SELO

SEHEMU YA KUWEKEA SIRAHA KATIKA KITUO CHA POLISI KILICHOPO KATIKA SOKO LA MWANJELWA

KAZI KWA KWENDA MBELE

SEHEM YA MJI WA MWANJELWA UNAVYOONEKANA UKIWA JUU YA PAA LA SOKO

KARIBUNI MBEYA


JENGO LA SOKO LA MWANJELWA LILIANZA KUJENGWA 25.02.2010  HADI SASA LIMEFIKIA HATUA YA UMALIZIAJI JAPO LIMECHELEWA KUKAMILIKA NA HATUA ZILIZOPO SASA KUFUATANA NA MKATABA WA UJENZI WA SOKO HILO NI KUWA MKANDALASI ANAKATWA TSH MILION KUMI KILA SIKU KWA MIEZI MITATU ALIYOPEWA AMALIZER NA KUKABIDHI JENGO LIKIWA LIMEKAMIRIKA.

ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI ILILENGA KUJIONEA UJENZI UNAVYOENDELEA NA KUJUA KWA NINI JENGO LIMECHELEWESHWA KUMARIZIKA NA HATUA GANI ZIMECHUKULIWA ILI KUKAMILISHA JENGO HILO AMBALO LINA UWEZO WA KUWA NA VYUMBA VYA BIASHARA 450, STOR 3 KWA AJILI YA KUTUNZIA VITU, OFISI MBALIMBALI, POLISI POST MOJA, HOTEL 4, MADUKA MAKUBWA  WATAGAWA KWA MITA, MABUCHA 10, SEHEM YA WAFANYA BIASHARA WADOGO 444, SEHEM YA KUPAKI GALI 150, SEHEM YA KUHIFADHIA TAKA, MAJI SAFI, MAJI TAKA, GENERETA KUBWA, VYOO KWA AJILI YA WAHITAJI MAALUM NA VYA KAWAIDA KATIKA KILA GHOROFA. JENGO LITAKUWA NA GHOROFA 3.

HADI HATUA HII YA ASILIMIA 80 JENGO LIMEGHARIM TSH BILION 8.8 NA HADI UKAMINIKA LITAGHARIMU TSH BILION 13.

Ally Kingo
0872881456
Post a Comment