Wednesday, December 26, 2012

MDAU MKUBWA WA KINGOTANZANIA BENNY MWAIPAJA NA MKEWE WABATIZA MTOTO KATIKA KANISA KUU LA KKKT TUKUYU MBEYA

BENNY MWAIPAJA MWANDISHI WA HABARI WA TBC MANYALA AKIWA NA MKEWE JENNY MWAIPAJA PAMOJA NA MTOTO WAO MBELE YA MADHABAHU KUMBATIZA MTOTO WAO MUNGU AWABARIKI SANA


WALEZI WA KIROHO WA MTOTO MR & MRS MSHUA
KWAITO SASA LIMEKOLEA

WATOTO WAKIFURAHIA SHEREHE
MICHEZO

JK Asherehekea Krismass Serengeti na kushiriki michezo

Mabingwa wa Kombe la Ujirani Timu ya hoteli ya Seronera wakifurahia ushindi baada ya kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge  katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara . Hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.

 
Nahodha wa hoteli ya Seronera Jamali Kitonga akifurahia baada ya kukabidhiwa kombe la Ujirani mwema na Rais Jakaya Kikwetebaada ya timu yake kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara Hasdi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi nahodha wa timu ya hoteli ya Seronera Jamali Kitonga kombe la Ujirani mwema baada ya timu hiyo  kuilaza kwa mabao 5-4 hoteli ya Four Seasons katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara  Hasdi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya pamoja na timu ya hoteli ya  Four Seasons Safari Lodge kabla ya kucheza na hoteli ya Serena katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara. hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua  timu ya hoteli ya  Serena  kabla ya kucheza na hoteli ya Four Seasons Safari Lodge katika Uwanja wa Kifaru katika Hifadhi ya Serengeti mkoani Mara.  hadi mechi inaisha timu hizo zilitoka sare ya 1-1 kabla kupigwa mikwaju ya penati ambapo Serena walifunga mabao 4 na dhidi ya 3 ya wapinzani wao.
Picha na IKULU
Post a Comment