Wednesday, August 28, 2013

WANAHABARI WATOA MAONI YAO KATIKA MCHAKATO WA KUJADIRI RASIMU YA KATIBA MPYA YA JAMHURI YA MUUNGANOA WA TANZANIA

MWANGI H. BARNABA AKIONGOZA BARAZA LA WANAHABARI MKOA WA MBEYA KATIKA KUTOA MAONI YA RASIM YA KATIBA MPYA TANZANIA


WANA HABARI WA MKOA WA MBEYA WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA MWONGOZO WA KUJADIRI RASIMU YA KATIBA KUTOKA KWA MUWEZESHAJI MWANGI BARNABA KUTOKA CHUO KIKUU CHA MZUMBE


MAJADIRIANO KWA MAKUNDI YAKAENDELEA NA LEO TUNAANGALIA SUALA LA MUUNGANO NA MUUNDO WAKE UWEJE

MUWEZESHAJI MWANGI KULIA NA KUSHOTO KWAKE EMMANUELI LENGWA KATIBU YA MBEYA PRESS CLUB WAKISIMAMIA MJADALA KWA UMAKINI
SADA MATIKU AKITOA MAONI YA KUNDI NAMBA MBILI ILI KUJADILIWA KWA PAMOJA

MWAKILILI RAIS MSTAFU WA UTPC AKITOA MAONI YAKE KATIKA KUCHANGIA RASIMU YA KATIBA

ALLY KINGO AKITOA MAONI YAKE KATIKA KIPENGELE CHA MJADALA WA LEO KUHUSU MUUNGANO NA MUUNDO WAKE UWEJE HAPA UZALENDO WA KINGO NI WATANGANYIKA KUFIKA WAKATI WA KUJITAMBUA UTAIFA WAO NA WAZANZIBARI PIA KUJITAMBUA ILI KUWA NA SERIKALI YA SHIRIKISHO ZITAKAZOONGOZWA NA MAWAZIRI WAKUU HUKU RAIS AKIWA MMOJA WA TANZANIA AMBAYE ATAKUWA KIONGOZI NA TANZANIA (JAPO HILI LINA MJADALA MPANA)

FREDY BAKALEMO AKITOA MCHANGO WAKE WA MAONI KATIKA RASIMU YA KATIBA

MKAAPO WAWILI WATATU MJADALA UNAENDELEA ILI KUPATA MAWAZO MAPYA

WAZO HAPA NI WATANGANYIKA KUJITAMBUA UTAIFA WAO

KIKAO CHA MAONI KINAENDELEA KWA SIKU TATU KATIKA UKUMBI WA OTU MKOANI MBEYA NA WANAHABARI WAZALENDO MKOA WA MBEYA WAMEPATA FULSA YA KUJADILI LASIMU ILI KUANGALIA NINI KINAWEZA KUSHAURIWA KUONGEZWA AU KUPUNGUZWA NA MWISHO WA SIKU WATANZANIA TUPATE KATIMA MAMA YA KUIONGOZA NCHI YETU YENYE NEEMA

Post a Comment