Saturday, September 14, 2013

Diwani wa Kata ya Kiwira (CHADEMA) Wilayani Rungwe, Lawland Mwakalibule AMEFUMANIWA akifanya mapenzi na binti wa shule ya Kiwira Sekondari nyumbani kwake. Hivi sasa diwani huyo yuko chini ya ulinzi wa Polisi mjini Tukuyu.HABARI KAMILI ITAWAJIAMHESHIMIWA

MHE DIWANI KATA YA KIWIRA KWA TIKETI YA CHADEMA LAWLAND MWAKALIBULE

MHE DIWANI NA AKIWA MWALIMU WA SEKONDARI AKIWA CHINI YA ULIZI KATIKA KITUO CHA TUKUYU

Post a Comment