Saturday, September 7, 2013

TAARIFA YA MSIBA WA PASCAL MAKOTOLE WA TUKUYU MJINI

MAREHEM PASCAL MAKOTOLE SIKU ZA UHAI WAKE
MKE WA MAREHEM PASCAL MRS HALIMA MOHAMED

PASCAL MAKOTOLE

MTOTO WA PASCAL NA HALIMA
HILI NDILO TANGAZO LA SAFARI YA KWENDA MATEMA SIKU YA LEO AMBAPO KATIKA SAFARI HIYO DELEWA WA COSTA TUKUYU MBEYA PASCAL MAKOTOLE AMEPATWA NA UMAUTI AKIWA ANAOGELEA NA WENZAKE KATIKA ZIWA NYASA MATEMA WILAYANI KYELA MKOA WA MBEYA
Post a Comment