Monday, September 2, 2013

WAANDISHI WA HABARI MBEYA WAPATA MAFUNZO YA UCHUMI NA BIASHARA KUTOKA UTPC


MWENYEKITI WA MBEYA PRESS CLUB USWEGE LUHANGA AKIFUNGUA MAFUNZO YA SIKU NNE KWA WAANDISHI WA HABARI MKOA WA MBEYA

UMAKINI WA KUJIFUNZA UNAONEKANA TU KWA MUONEKANO

WAANDISHI WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA MAFUNZO




ALLY KINGO

MNAKU MBANI MUWEZESHAJI WA SEMINA KUTOKA UTPC

MDAU WA KINGOTANZANIA FREDY ANTHONY ALA NONDOZ!

 Head of Group Research and Product development wa Tone Multimedia Group ambao pia ndio wamiliki wa Mtandao huu wa Mbeya yetu, Fredy Anthony akiwa Nje Baada ya kumaliza mahafali na kutunukiwa Shahada yake ya pili  (MBA-Multimedia Marketing)
 Hapa ilikuwa muda mchache baada ya kumaliza Mahafali hayo 
 Hapa Ilikuwa Full happy People Baada ya Safari Ndefu kumalizika 
 Kama kawaida Tukio hili Hufanyika mara Baada ya kumaliza

Head of Group Research and Product Development wa Tone Multimedia Company ambaye pia ndiye Mtaalam wa mambo ya mitandao na Mbunifu wa Product zote za Kampuni ya Tone Multimedia Group  , Ambao ni wamiliki wa Tone Radio-Tz , Blogs zamikoa , This Day Magazine , Matukio na wanavyuo , Watanzania waishio Nje ya Nchi , Tone Tube  ,  na Stay in Tanzania(Amazing Tanzania and Tours)  , Bwana Fredy Anthony , Hivi karibuni amepata Shahada yake ya pili ya (MBA- Multimedia Marketing ) katika Chuo Kikuu cha Multimedia kilichopo Malaysia. Uongozi mzima wa  www.kingotanzania.blogspot.com unaungana na wadau wote kumpongeza kwa hatua aliyo fikia na kumtaka aendelee kuchapa kazi kwa Bidii na Kuleta Maendeleo zaidi ikiwa ni pamoja na Mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia Nchini Tanzania.

.............................................................

No comments: