Rais
 Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya Pamoja na Viongozi wa 
Vyama vya upinzani muda mfupi kabla ya kuanza mazungumzo kuhusu rasimu 
ya katiba ikulu jijini Dar es Salaam.Wengine katika picha kutoka kushoto
 Isaack Cheyo UDP, James Mbatia NCCR Mageuzi, Professa Ibrahim Lipumba 
CUF, Freeman Mbowe CHADEMA, Philip Mangula CCM, na Bibi Nancy Mrikaria 
aliyemwakilisha Mwenyekiti wa TLP Mhe.Agustine Lyatonga Mrema. 
 
 
Rais
 Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa 
Vyama vya upinzani na wasaidizi wao waandamizi muda mfupi kabla ya 
kuanza mazungumzo kuhusu rasimu ya katika ikulu jijini Dar es Salaam 
leo.Kutoka kushoto mbele Isaack Cheyo UDP, James Mbatia NCCR Mageuzi, 
Professa Ibrahim Lipumba CUF, Freeman Mbowe CHADEMA, Philip Mangula CCM,
 na Bibi Nancy Mrikaria aliyemwakilisha Mwenyekiti wa TLP Mhe.Agustine 
Lyatonga Mrema.Waliosimama Nyuma kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu CUF
 Bwana Julius Mtatiro,Mhe. Tundu Lissu CHADEMA, Bwana Martin Mng’ong’o 
NCCR Mageuzi ,Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Uratibu na Bunge 
William Lukuvi, Mhe.Habib Mnyaa CUF, Mbunge wa Ubungo Kwa tiketi ya 
CHADEMA Mhe.John Mnyika, Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Mahusiano na 
Uratibu Mhe.Steven Wassira na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Mathias 
Chikawe.(picha na Freddy Maro)




No comments:
Post a Comment