Monday, November 25, 2013

KINANA ATUA RASMI MKOANI MBEYA LEO ATUA WILAYANI RUNGWE KWA ZIARA YA SIKU MBILI RUNGWE NA BUSOKELO


Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana ukiwasiri wilayani Rungwe kwa ziara ya siku mbili Halmashauri ya Rungwe na BusokeloKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasiri wilayani Rungwe


 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Ipinda wilayani Kyela kwenye mkutano wa hadhara ambao ndio mkutano wake wa kwanza kama Katibu Mkuu wa CCM lakini pia ndio siku aliyowasili akitokea Ruvuma .
 Katibu wa NEC Siasa na Mahusiano ya Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro akiwasalimu wakazi wa Ipinda wilaya ya Mbeya na kuwasihi wakina mama wawe mstari wa mbele kuhakikisha mabinti zao wanapata elimu.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Ipinda na kuwaeleza mambo muhimu ya kutafakari kabla hawjakurukupia siasa na baadhi ya vyama vingi vipo kwenye mfumo na utawala binafsi.
 Mbunge wa Kyela Dk. Harisson Mwakyembe akihutubia wakazi Ipinda wa kwenye mkutano wa hadhara ambao mgeni rasmi alikuwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana
 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwa amekaa Nyumbani kwa Balozi wa Nyumba 10 Ndugu Menas Ndoma .
Wananchi wa Shina namba 1kata ya Walema wakishangilia salaam za Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuja kumtembelea Balozi Menas Ndoma wa kata ya Walema.
Post a Comment