Tuesday, December 24, 2013

UZALENDO AU UTUMIKISHWAJI ? .. WATOTO WATUMIKA KUJENGA UWANJA WA KUMBUKUMBU YA SOKOINE , WAFANYISHWA KAZI BILA MALIPO WALA CHAKULA.


Upandaji wa nyasi ukifanywa na watoto katika uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine Jijini Mbeya


Watoto wakichukua nyasi kwa ajili ya kupanda katika uwanja wa Sokoine
Uwanja wa Sokoine unavyoonekana kwa sasa


Baadhi ya watu wakishirikiana na watoto kupanda nyasi katika uwanja wa Sokoine ambao wanadai kufanya kazi hiyo bila malipo.
Post a Comment