Wednesday, January 29, 2014

MUIGIZAJI WA FUTUHI, MZEE DUDE AFARIKI DUNIA

dude 
MUIGIZAJI WA KUNDI LA VICHEKESHO LA FUTUHI LA JIJINI MWANZA, LINALORUSHA MCHEZO WAKE KUPITIA RUNINGA YA STAR, MZEE DUDE, AMEFARIKI DUNIA, KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO, BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MFUPI.
Post a Comment