Monday, March 17, 2014

MAZIKO YA NESSY BOAZI GAPY SALASALA MAZIKO YAMEFANYIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU KAYUKI USHIRIKA TUKUYU WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA

MAREHEM MRS NESSY BOAZI GAPPI ENZI YA UHAI WAKE
MAMA MCH, RUTH MWALWEGA AKIMUUGUZA MWANAE DAKIKA ZA MWISHO ZA UHAI WAKE DADA NESSY BOAZ GAPPI KATIKA HOSPITAL YA IGOGWE TUKUYU WILAYANI RUNGWE

BABA MCH NAZARETH MWALWEGA AKIWA HOSPITAL YA IGOGWE TUKUYU WILAYANI RUNGWE AMBAPO ALIPOKUWA AMELAZWA KWA MATIBABU NESSY GAPPI SALASALA

MR BOAZI GAPPI SALASALA MUDA MFUPI BAADA YA KUONDOKEWA NA MEWE NESSY KATIKA HOSPITALI YA IGOGWE TUKUYU

SAFARI YA KUTOKA IGOGWE HOSPITALI KUELEKEA TUKUYU MOCHWARI KUHIFADHI MWILI WA MAREHEM NESSY KUSUBIRI MAZIKO

WAFIWA

MR BOAZI GAPPI SALASALA AKIWA NA MAJONZI YA KUONDOKEWA NA MKEWE NESSY BOAZI

WAFIWA

IBADA ILIONGOZWA NA KANISA LA RC PAROKIA YA KISA KATIKA KIGANGO MPUGUSO KATIKA MJI WA USIRIKA TUKUYU MJINI


MSAFARA KUELEKEA KATIKA MAZIKO YALIYOFANYIKA NYUMBANI KWAKE NA MUMEWAKE KAYUKI TUKUYU MJINI

WATU WAKITOA SALAM ZA MWISHO KWA MAREHEM NESSY SALASALA YUMBANI KWAKE

MKUU WA WLAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIWAONGOZA WANANCHI WA RUNGWE NA SEHEMU MBALIMBALI KUUAGA MWILI WA MAREHEMU NESSY BOAZI GAPPI SALASALA

WATOTO WA MAREHEMU WAKIONGOZWA NA ROSE WAKIMUAGA MAMA YAO KWA MALA YA MWISHO

KUELEKEA MAKABURINI

JENEZA LIKIINGIZWA KABURINI

ULIUMBWA KWA UDONGO, UTARUDI  KWA UDONGO MAVUMBI KWA MAVUMBI MWENYEZI MUNGU ATAKUFUFUA SUKU YA MWISHO

MUME WAKE MAREHEM BOAZI SALASALA AKIWEKA SHADA LA MAUA KATIKA KABURI LA MAREHEM MKE WAKE NESSY BOAZI

MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA NA MKE WAKE WAKIWEKA SHADA LA MAUA KATIKA KABURI LA  NESSY SALASALA

KAKA YAKE MKUBWA NA SALASALA AKIONGEA KWA NIABA YA FAMILIA NA KUWASHUKURU WATU WOTE WALIOHUSIKA KUMUUGUZA NESSY BOAZ NA PIA WOTE WALIOJALIA MAOMBI KATIKA KUMUOMBEA MAREHEMU SIKU ZOTE ALIPOKUWA ANAUMWA ZAIDI AMEWASHUKURU WATU WALIOJENGA KABURI, PIA VIONGOZI WA KANISA NA SERIKALI WALIO HUSIKA SIKU YA MAZIKO

KATIKA FAMILIA NESSY BOAZ GAPPY SALASALA NI PENGO KUBWA SANA MUNGU ANAJUA KUFARIJI , PUMZIKA KWA AMANI NESSY BOAZI GAPPY SALASALA.ULIUMBWA KWA UDONGO, UTARUDI  KWA UDONGO MAVUMBI KWA MAVUMBI MWENYEZI MUNGU ATAKUFUFUA SUKU YA MWISHO. AMEN

Post a Comment