Wednesday, March 5, 2014

TUKUYU STARS WAICHABANGA TIMU YA MUUNGANO TOKA BUSOKELO WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA MAGOLI MATATU KWA NUNGE UWANJA WA TANDALE TUKUYU MJINI

TUKUYU STARS WAKIWA WANATOKA NJE KWA AJILI YA MAPUMZIKO HUKU WAKIONGOZA KWA GOLI MOJA AMBAPO KIPINDI CHA PILI MUUNGANO WAKAKUBALI KICHAPO CHA MAGOLI MAWILI ZAIDI NA KULALA KWA TATU BILA

TIMU YA MUUNGANO KUTOKA LWANGWA  HALMASHAURI YA BUSOKELO WAKITOKA MAPUMZIKO

MUUNGANO WAKIWA KATIKA CHUMBA CHA MAPUMZIKO

CHUMBA CHA MAPUMZIKO WACHEZAJI WA TUKUYU STARS WAKIWA WANAPATA MAWILI MATATU TOKA KWA MASHABIKI NA VIONGOZI

WACHEZAJI WA TUKUYU STARS WAKISHANGILIA BAO LA TATU

MBELE NI MWAMEDI MWAFIKENI AMBAYE NI KOCHA AKIANGALIA MPIRA KWA MAKINI HUKU MASHABIKI WAKE WA MJUUNGANO WASIAMINI KINACHOENDELEA UWANJANI KWA KUFUNGWA NA TIMU YA TUKUYU STARS AMBAPO MECHI YA MZUNGUKO WA KWANZA MUUNGANO WALISHINDA TUKUYU STARS MAGOLI MATATU KWA NUNGE

MASHABIKI WA TUKUYU STARS WAKIFURAHIA MWENDO WA USHINDI

WACHEZAJI WA TUKUYU STARS NA BAADHI YA MASHABIKI WAKIFURAHIA USHINDI BAADA YA TIMU YAO KUCHABANGA MAGOLI MATATU KWA NUNGE TIMU YA MUUNGANO KUTOKA LWANGWA BUSOKELO

BAAADA YA MCHOZO KATI YA TUKUYU STARS & MUUNGANO YA BUSOKELO WACHEZAJI WA TUKUYU PICHANI WAKIPATA MAWILI MATATU TOKAKWA KOCHA MAJEMBE

NIKIWA MMOJA WA VIONGOZI WA TUKUYU STARS NIKIWA UWANJANI  TANDALE TUKUYU AMBAPO TUKUYU STARS WAMEIBUKA KIDEDEA KWA KUICHABANGA TIMU YA MUUNGANO TOKA BUSOKELO KWA MAGOLI MATATU KWA NUNGE IKIWA NI MZINGUKO WA PILI AMBAPO KATIKA MZUNGUKO WA KWANZA MUUNGANO WALISHINDA TUKUYU STARS KWA BILA MAJIBU AMBAPO LEO BAADA YA WADAU NA WAKELEKETWA WA TIMU YA TUKUYU STARS KUANZA KUJIPANGA UPYA USHINDI SASA DAIMA NA KUFIKIA NDOTO ZA KUCHEZA LIGI KUU YA TANZANIA  TENA
KWA PAMOJA TUTASHINDA (BANYAMBALA)
Post a Comment